Tafuta
Tafuta ndoto yako
Andika ulichoota — mfano "simba", "nyoka", "pesa" — tukuonyeshe kitabu kinachoifafanua.
Matokeo ya "simba" · Vitabu 11
Vitabu vyenye jina hilo
Ndoto zilizopatikana kwenye vitabu hivi

sw100 ndotondoto 3 zinazolingana
- 35.Kuota kunguru anakuzunguka— Onyo la habari au ujumbe usiotoka kwa Mungu (Yeremia 23:16)…
- 40.Kuota joka linakutumikia— Onyo la nguvu kubwa ya kiroho inayojifanya kuwa msaada wako (Ufunuo 12:9)…
- 39.Kuota simba anakusalimia— Ishara ya kukutana na mamlaka, kiongozi au nguvu yenye ushawishi mkubwa (Mithali 19:12)…

Ndoto za Kufukuzwa1,000/=
sw150 ndotondoto 1 inayolingana
- 52.Kuota unafukuzwa na simba— Kuashiria mashambulizi ya adui mwenye nguvu au mamlaka (1 Petro 5:8)…

Sauti za Ndoto2,000/=
sw200 ndotondoto 2 zinazolingana
- 12.Kusikia Simba Akinguruma— Kuashiria nguvu kubwa au mamlaka (Methali 19:12)…
- 31.Kusikia Simba Akinguruma Karibu— Kuashiria hofu au tishio kubwa lililo karibu (1 Petro 5:8)…

Kuota Damu1,000/=
sw100 ndotondoto 1 inayolingana
- 46.Kuota simba ana damu— Dalili ya adui mwenye nguvu kupungua au kushindwa (1 Petro 5:8)…

Kuota Unachunga1,000/=
sw100 ndotondoto 1 inayolingana
- 21.Kuchunga na simba kuja— Kuashiria mashambulizi ya adui wa kiroho (1 Petro 5:8)…

Kuota Ngozi1,000/=
sw100 ndotondoto 1 inayolingana
- 21.Kuota ngozi ya simba— Kuashiria nguvu na ujasiri wa kiroho (Yoshua 1:9)…

Kuota Nchi Tambarare1,000/=
sw100 ndotondoto 1 inayolingana
- 44.Kuota simba kwenye nchi tambarare— Kuashiria nguvu na mamlaka (Methali 28:1)…

Kuota Vyakula3,000/=
sw450 ndotondoto 1 inayolingana
- 441.Kuona simba akila chakula— Nguvu na mamlaka ya kiroho. (Isaya 31:4)…

Ndoto za Kulia Machozi1,000/=
sw150 ndotondoto 1 inayolingana
- 25.KULIA MACHOZI MBELE YA SIMBA— Dalili ya hofu, changamoto kubwa, au hatari inayokukabili (Zaburi 27:1)…

sw100 ndotondoto 1 inayolingana
- 81.Kuota simba anakutazama— Onyo la uwepo wa adui anayefuatilia hatua zako (1 Petro 5:8)…

