Kuhusu Sisi

Tafsiri za Ndoto ni maktaba ya vitabu vya kufafanua ndoto kwa mwanga wa Neno la Mungu.

Vitabu hivi vimeandaliwa na Mchungaji, Dr. Angelo Pastory Mutta, kwa lengo moja: kumsaidia mwamini kutafsiri ndoto zake kwa Maandiko Matakatifu, badala ya mapokeo au uvumi.

Kila kitabu kimepangwa kwa makundi ya ndoto. Kwa kila ndoto utapata maana yake, andiko linalohusiana nalo, na hatua unazoweza kuchukua katika maombi na maisha yako.

Maktaba yetu ina vitabu kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza.

MUTTA Chuo Kikuu cha Injili Mtandaoni

Matangazo

MUTTA Chuo Kikuu cha Injili Mtandaoni

Jifunze Neno la Mungu popote ulipo. Masomo, mitihani na vyeti — yote mtandaoni. Ada ya kujiandikisha ni Tshs 10,000/=.

Pakua fomu na ujiunge