Nitapokeaje kitabu changu?
Malipo yakithibitishwa, kitabu kinaingia moja kwa moja kwenye Maktaba Yako hapa mtandaoni. Unakisoma papo hapo.
Naingiaje kwenye maktaba yangu?
Bofya "Ingia", kisha weka namba ya simu uliyotumia kulipia. Tutakutumia namba ya siri kwa SMS. Hakuna nywila ya kukumbuka.
Nitasoma vipi?
Vitabu vinasomwa hapa mtandaoni kwenye simu, kompyuta au tablet. Kuna utafutaji ndani ya kila kitabu — andika ndoto yako, mfano "simba", nawe utafikishwa moja kwa moja kwenye ndoto husika.
Naweza kupakua kitabu?
Hapana. Vitabu vinasomwa mtandaoni pekee. Hii inatusaidia kulinda kazi ya mwandishi.
Nitakisoma kwa muda gani?
Milele. Ukishalipia, kitabu kinabaki kwenye maktaba yako.
Naweza kulipa kwa njia gani?
Kwa sasa tunapokea M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas na HaloPesa.
Nimelipa lakini sijapata kitabu. Nifanyeje?
Hifadhi namba ya oda yako kisha wasiliana nasi. Tutakusaidia mara moja.
Matangazo
MUTTA Chuo Kikuu cha Injili Mtandaoni
Jifunze Neno la Mungu popote ulipo. Masomo, mitihani na vyeti — yote mtandaoni. Ada ya kujiandikisha ni Tshs 10,000/=.