MUTTA Chuo Kikuu cha Injili Mtandaoni

Shahada ya Kwanza ya Teolojia (BTh) — masomo yote mtandaoni.

Elimu ya Injili • Maarifa ya kujibu maswali ndani na nje ya kanisa • Huduma.

Jinsi ya kujiunga

  1. Pakua fomu ya usajili kwa kiungo kilicho hapa chini.
  2. Jaza fomu yote — sehemu A hadi G.
  3. Ambatanisha: picha ndogo, kitambulisho, cheti cha elimu, vyeti vya Biblia au Teolojia (ikiwa vipo), na uthibitisho wa malipo.
  4. Lipa ada ya usajili Tshs 10,000/=, kisha rudisha fomu pamoja na nyaraka kwa WhatsApp au barua pepe.

Pakua fomu ya usajili (Word)

Utayari wa masomo mtandaoni

Unahitaji simu janja au kompyuta, na intaneti. Masomo, maswali na mitihani hufanyika kwa WhatsApp, barua pepe na PDF. Ukihitaji maelekezo, tuandikie — tutakuonyesha hatua kwa hatua.

Wasiliana nasi

WhatsApp: +255 715 787 836
Simu: +255 754 787 836
Barua pepe: muttaangelo7@gmail.com
Mahali: Dodoma, Tanzania

Elimu ya Injili kwa Kila Mtu, Kila Mahali.

MUTTA Chuo Kikuu cha Injili Mtandaoni

Matangazo

MUTTA Chuo Kikuu cha Injili Mtandaoni

Jifunze Neno la Mungu popote ulipo. Masomo, mitihani na vyeti — yote mtandaoni. Ada ya kujiandikisha ni Tshs 10,000/=.

Pakua fomu na ujiunge