Masharti ya Matumizi
Vitabu vinavyouzwa hapa ni kwa matumizi binafsi ya mnunuzi pekee.
Hairuhusiwi kusambaza, kuuza tena, au kuchapisha kitabu chochote kwa njia yoyote bila idhini ya maandishi kutoka kwa mwandishi.
Vitabu vinasomwa mtandaoni pekee. Hairuhusiwi kunakili, kupiga picha za skrini kwa wingi, au kusambaza maudhui ya kitabu.
Kwa kuwa vitabu ni vya kidijitali na hufunguka mara moja baada ya malipo, malipo hayarudishwi baada ya kuanza kusoma, isipokuwa kama kuna hitilafu ya kiufundi.
