Sera ya Faragha
Tunakusanya jina lako, namba ya simu na barua pepe (ukiweka) kwa ajili ya kukamilisha oda yako na kukupelekea kitabu chako.
Namba yako ya simu inatumwa kwa mtoa huduma wa malipo (Snippe) ili kukamilisha malipo. Hatuhifadhi taarifa zako za PIN wala akaunti ya fedha.
Hatuuzi wala kukodisha taarifa zako kwa mtu yeyote.
