Tafuta
Tafuta ndoto yako
Andika ulichoota — mfano "simba", "nyoka", "pesa" — tukuonyeshe kitabu kinachoifafanua.
Matokeo ya "damu" · Vitabu 12
Vitabu vyenye jina hilo
Ndoto zilizopatikana kwenye vitabu hivi

sw100 ndotondoto 16 zinazolingana
- 29.Kuota unamimina damu ardhini— Ishara ya agano la damu linalotaka kuanzishwa au kuimarishwa (Waebrania 9:22)…
- 85.Kuota unasaini agano la damu— Ishara ya shinikizo la dhamiri au hofu ya ahadi nzito (Mhubiri 5:4)…
- 30.Kuota unapeleka zawadi kwa nguvu za giza— Ishara ya kutoa heshima au utiifu kwa mamlaka ya giza (Mathayo 4:9-10)…

Kuota Nyoka5,000/=
sw1,000 ndotondoto 18 zinazolingana
- 10.Kuota nyoka anakung’ata hadi damu inatoka— Hasara kubwa au maumivu ya wazi…
- 2.2 Kuota nyoka anakung’ata mkononi— Shambulio katika kazi au huduma unayofanya…
- 16.Kuota nyoka anakutemea mate mkononi— Shambulio dhidi ya kazi zako au matokeo ya juhudi zako.…

Kuota Vyakula3,000/=
sw450 ndotondoto 14 zinazolingana
- 1.Unaota unaweka sumu kwenye chakula— Moyo uliojeruhiwa unaobeba chuki au nia isiyo safi…
- 21.Unaota mtu asiyejulikana anakulisha kwa mkono— Ushawishi wa kiroho usiojulikana unaoingia maishani mwako. (Mithali 14:12)…
- 259.Kuota unakula chakula cha jioni chenye harufu mbaya— Tabia au maneno yasiyompendeza Mungu. (Waefeso 4:29)…

Kuota Ngozi1,000/=
sw100 ndotondoto 2 zinazolingana
- 96.Kuota ngozi ikifunikwa na damu— Kuashiria dhabihu au maumivu makubwa (Waebrania 9:22)…
- 13.Kuota ngozi inavuja damu— Kuashiria maumivu makali ya kihisia au kiroho (Zaburi 22:14)…

Kuota Mtoto5,000/=
sw1,000 ndotondoto 8 zinazolingana
- 1.Kuota mtoto anaumwa— Maumivu ya moyoni au kiroho (Mithali 14:13)…
- 5.Kuota mtoto yuko anaumwa nyumbani— Mapambano ndani ya familia (Yoshua 24:15)…
- 6.Kuota mtoto anaumwa wakati wa usiku— Shambulio la giza (Zaburi 91:5–6)…

Ndoto za Kufukuzwa1,000/=
sw150 ndotondoto 3 zinazolingana
- 5.Kuota watu wasiojulikana wanakutafuta kukuua— Kuashiria mashambulizi makali ya kiroho (Yohana 10:10)…
- 25.Kuota ndugu wanakufukuza— Kuashiria migogoro ya kifamilia iliyofichika (Mika 7:6)…
- 73.Kuota unafukuzwa na mzimu— Kuashiria hofu ya mambo yasiyoeleweka (Ayubu 7:14)…

Kuota Simba1,000/=
sw300 ndotondoto 6 zinazolingana
- 3.Kuota simba amekukamata kwa makucha yake— Dalili ya maumivu au mashambulizi ya moja kwa moja ya kiroho (Zaburi 129:3)…
- 9.Kuota simba anazaa— Dalili ya kuongezeka kwa nguvu au matatizo (Nahumu 2:11–12)…
- 2.Kuota simba amezamisha makucha mwilini mwako— Dalili ya mashambulizi ya moja kwa moja ya kiroho (Zaburi 129:3)…

Kuota Maiti1,000/=
sw100 ndotondoto 2 zinazolingana
- 61.Kuota maiti yenye damu— Kuashiria maumivu makubwa ya kihisia au kiroho (Zaburi 34:18)…
- 66.Kuota maiti inalia damu— Kuashiria huzuni kubwa ya ndani (Mathayo 5:4)…

Ndoto za Kulia Machozi1,000/=
sw150 ndotondoto 2 zinazolingana
- 71.Kuota unalia na machozi yanageuka damu— Kuashiria maumivu makubwa ya ndani yanayohitaji uponyaji (Zaburi 34:18)…
- 4.KULIA MACHOZI MBELE YA NDUGU WA DAMU— Dalili ya mahusiano ya ndani na ndugu (Methali 17:17)…

Kuota Jeneza1,000/=
sw100 ndotondoto 1 inayolingana
- 82.Kuota jeneza na damu— Kuashiria maumivu makali ya kiroho au kihisia (Zaburi 51:14)…

Kuota Unakunya1,000/=
sw100 ndotondoto 1 inayolingana
- 13.Kuota kinyesi chenye damu— Kuashiria maumivu ya kina ya kihisia (Zaburi 6:6)…

